PICHAZ: ilivyohappen FIESTA 2016 Tabora
Usiku wa September 9 2016 ilikua ni zamu ya Tabora kushuhuhudia tamasha la FIESTA 2016 ambapo kulikuwa na list ndefu ya wasanii kutoka bongoflevani, kama hukubahatika kuwa kwenyea FIESTA Tabora, Nimekuwekea picha za FIESTA 2016 Tabora ilivyokuwa pia usisahau kuniacha comment yako.
Maua Sama
Jux
Joh Makini
No comments:
Post a Comment