Monday, 12 September 2016

Rais Magufuli ameahirisha ziara yake

Rais Magufuli ameahirisha ziara yake ya kesho nchini Zambia ili ashughulikie tatizo la tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu 16 mkoani Kagera.
- Atawakilishwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu kwenye tukio la kuapishwa kwa Rais Mteule Edgar Lungu.

Sunday, 11 September 2016

TETEMEKO LAFANYA UHARIBIFU KANDA YA ZIWA

PICHAZ: ilivyohappen FIESTA 2016 Tabora


Usiku wa September 9 2016 ilikua ni zamu ya Tabora kushuhuhudia tamasha la FIESTA 2016 ambapo kulikuwa na list ndefu ya wasanii kutoka bongoflevani, kama hukubahatika kuwa kwenyea FIESTA Tabora, Nimekuwekea picha za FIESTA 2016 Tabora ilivyokuwa  pia usisahau kuniacha comment yako.
dsc_8828-1

Saturday, 10 September 2016

Rais Afanya Uteuzi Mpya

Taarifa iliyotolewa leo september 10 2016 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua  Eliya Mtinangi Ntandu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, nafasi ya

TUPO MOROGORO KIHONDA KWA CHAMBO

VIFAA VYA SIMU; yaani housing,battry,earphones,